Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

Nimekutana na wanawake wengi sana kipindi nikiwa Mlevi! Wa pombe(Elewa maana "Mlevi!) Thanks God huu ni mwaka wa 2 nimeiacha,

Nimekutana na wanawake watumiaji konki wa ugoro!

Wanadai unawapa ashki!
 
BBC swahili waliwahi kuliongelea hilo jambo na uchunguzi ufanyikia mkoani Tabora akina mama wengi tu walikiri kutumia ugoro kama sehem ya kujistarehesha kwa hiyo hawana haja ya wanaume

Hii ni maajabu!
 
Ugoro wa Kirumba kwa Masai kwenye lile gorofa ambalo halijaisha,ugoro wa daraja la wamasai,ugoro pale Sayona uwanjani Jirani na kiwanda Cha Pepsi na chuo Cha Veta......wanawake wa Mwanza mmeshindikana.
 
hawa nao wanaangukia kwenye chama cha CHAPUTA au wanaanzisha chama chao kipya
 
Ugoro, Ugoro ukiingia tu kwenye jicho kwa Bahati mbaya muwasho wake na maumivu yake siyamchezo
Leo kunawanao weka kwenye papachu duu
Wanaume tunakazi kweli nitafute pesa bado nimfikishe kileleni mwanamke anaeweka Ugoro kwenye papachu duuu
 
au ndio sbb ya mashimo kuwa makubwa
images.jpeg
 
Back
Top Bottom