Nipe ujuzi huo usibanie ππππ€ π€ π€ π!
Na ugoro tena!
Mara vipipi Sijui asali nyieee tutafika hooiiπ€
Are you sure Donatila!?Kweli kumridhisha kiumbe mwanamke bado ni mtihani kwa mwanaume...
Ujuzi upii mshamba tu mie! Wewe kungwi ukungwini ndio unipe maufundiii shougakoo hapa!Nipe ujuzi huo usibanie πππ
Wee ndio kungwi mwenyewe udugu lete kazi ya ugoro πππUjuzi upii mshamba tu mie! Wewe kungwi ukungwini ndio unipe maufundiii shougakoo hapa!
Mbn kama Kuna ukwer apakanda ya ziwa sarati ni maji ya ziwa yalichanganika na kemikali za uchimbaji dhahabu.saratani kubwa sana kanda ya ziwa sema serikali iwezi sema