Wanawake wengi siku hizi hawajui kupika chakula. Wanajaza viungo vingi kwenye mboga inapoteza ladha yake halisi

Umesema kweli kabisa, Mimi huwa naacha kula nikikutana na situation hii na ni muhanga.
 
Hata wewe ni reject uliyeshindwa kupata mume.
Chuki zako dhidi ya wanaume zipeleke kwa aliekutelekeza kenge wewe usie na mbele wala nyuma.

Maisha yakushinde huko hasira uhamishie wanaume wote, mburukenge kabisa.
 
Wanafikiri kuweka mafuta mengi na viungo Vingi ndio mapishi mazuri.
 
Asante sana kwakutukumbuka, yeye ale tu vyakuloweka
 
Au unapika supu ya sangara bila viungo.

Ahata vijijini kuna limao ndimu wanaweka kukata shombo.

ASITUFOKEE KUHUSU VIUNGO
Huyo atakuwa bahili tu hivi hata kama ni supu usiweke viungo? Anamjua kambale halafu amloweke tu aone raha yake
 
Reactions: amu
Inna kwa kweli kwa hii idara sina mashaka.[emoji3]
nakuamini, nakuonaga kule kwenye uzi wa vyakula uko njema huwa napita kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujakosea my dear!
 
Mtu anaweka viungo mpaka hamu ya chakulq inakatika

Sipendi viungo vinhi kweny chakula, tena kama nyama, samaki, kuku napenda vikiwa na ladha/harufu yake halisi bila viungo
 
Binafsi napenda vyakula viwe na viungo mfano nyama ikiungwa na nyanya na kitunguu pekee siwezi kula harufu yake inanishinda.
 
Reactions: amu
Hasa wachaga, mchuzi kwenye Somaki mpaka anafufuka aogelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…