Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
Hoyeeeeeeeee
Wametubadili sana, sometime for the better and sometime for the worse, mie namshukuru wangu sana kwani amenipatia, mie the only daughter, baba ananiabudu, mama ananidekeza hadi leo, lakini huyu kaka ameweza kunifanya nifikirie watu wengine, yeye anatokea familia kubwa kwa hio hakuna selfishness, ni sharing of everything, time, feelings, money, worries nk. mie hayo sikujua, hata sikuwa naona kama natakiwa niwe responsible kwa mtu yoyote, ila sasa naanza kujikuta nasaidia watoto wa ndugu ets.
To me this is a very positive effect, hata wazazi wangu wanashangaa pricess wao kawa vipi.
Lakini kwa upande mwininge, it is difficult to change na my only advise in this, pleaese usifanye jambo kwa kumlipizia kisasi, fanya tu kwa kujiliwaza, tafuta sehemu au kampani safe ya kujiliwaza. ni very risky kujiliwaza na vitu vya siri, kama sex, porn, shopping, food, drinks, ni rahisi kupitiliza na kuwa addicted.