Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

MUME MNAENDA MAKANISAN AMA MSIKITIN MJUE MAANDIKO MWANAMKE AJAWAHI KUPENDA ..MUME ATAMPENDA MKEWE NANMKEWE ATAMTII MUMEWE...SO UKITAKA KUPENDWA N JUHUDIZAKO NA UTASHI WALE
 
Sawa Mtoa mada umeongea vizuri kuhusu wanawake wa kiafrica, Vipi kuhusu wanawake wengine wa kizungu ambao let say kaolewa na mtu maarufu ana pesa net worth yake ni kubwa anavunja ndoa ili apate mali yaan nusu ya utajiri wa mwanaume na yeye katokea kwenye umaskini?

Mimi naona issue kubwa ni tamaa ambayo ni hulka ya mtu. Kuna wanaume wengi Africa ni maskini lakini wamebahatika kupata wake ambao wamekubaliana na hali na wanaishi vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…