Wanawake wengi walio single, wapo single kwasababu ya vizinga, na kutafuta wanaume wenye pesa nyingi

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Unakutana na mdada mwenye mwonekano mzuri, shepu ipo, lakini yuko single, hana mtoto, na yupo kwenye umri wa kuolewa, mpaka unajiuliza huyu amelogwa na her village people, au ana jini mahaba, wanaume hawaoni uzuri wake au? Ila ukipata wasaa wa ku-interact nae kwa karibu zaidi utagundua kwanini yupo single.

Vizinga vya mara kwa mara vinafanya wadada wengi wapoteze wanaume wa maana, mwanaume hata kama alikuwa na malengo na wewe, ukianza vizinga, mwanaume ataona mmh huyu tapeli, hapa hamna mke, mwanaume anaanza kukushusha level, unakuta kila mara mdada akionana na wewe, buy me this, buy me that.

Mwanzoni nlikuwa nimekariri kwamba mdada anaekuomba hela sana hakupendi/hana malengo na wewe, nikaja kutana na baadhi ya wadada ambao wanapiga vizinga kama vyote, she hardly add any value in your life, alafu from her actions na maongezi yake, unaona kabisa huyu anategemea umuoe/uji-commit kwake, mwanaume unabaki is she serious.

Kuna category nyingine ya wadada ambao nawaita corporate ladies, baadhi wanafanya kazi sehemu k.v KPMG hapa bongo, wapo successful in their career, wanalipwa mshahara mzuri i.e 4 million tsh kwa mwezi, Wana magari, nyumba, wako in their late 20's or early 30's ila wapo single, ukiwauliza why are they single wanajibu kwani mwanaume atawapa nini.

Yani na wao wanataka waolewe na mwanaume anaewazidi kipato na cheo, wakati kitakwimu wengi wetu ni kina sisi (employed broke men) or jobless.

Some ladies wa jf wanasema wakiwa na uhakika wa hela hata nyege zinakata 🫢😁

Nakala cc: Zemanda Natafuta Ajira RedPill Prophet
 
Kimbia mita 100 usirudi nyuma,hao ni Malaya kama Malaya wengine
 
So tafsiri yake ni kuwa wazazi wetu wamezaa na kulea takataka yaani wadangaji.

Ikiwa 99% ya wanaume ni wasio na kipato ambacho wanakitafuta ina maana watoto wa kike wa sasa wanakichaa au akili zao hazipo sawa sawa. Ni sawa na mtu kwenda hoteli ya gharama na kuagizia chakula ambacho hauna uwezo nacho,unakuwa haupo katika utimamu.

Kujiambia unataka mwanaume wa kukupa unachotaka bila kujiuliza wewe ni mtu wa aina gani hadi kuyapata hayo maisha unayotaka ni kujitafutia matatizo tu.
 
Wengine wapo single kwa sababu wanatafuta TDH 🤣🤣😭🤣🤣
 
Wanawake kama tulivyokubaliana kikaoni heri uonekane mdangaji kulikoni kupitiwa bure.
Hela ni kuomba tu
Hawezi kutoa pesa akupe maji ya uzima kama ataweza 🤣🤣🤣
Hili a,imio safi sana...haya basi wataka kiasi gani na mie nipite na wewe?
 
Life doesn't evolve around mbususu
Mie na weye tunatofautia a hapa.
Sasa unasemaje kuwa life dnt revolve around mbususu wakati huo huo most important ni family na hiyo familia bila mbususu u aipataje mwanawane
 
Mie na weye tunatofautia a hapa.
Sasa unasemaje kuwa life dnt revolve around mbususu wakati huo huo most important ni family na hiyo familia bila mbususu u aipataje mwanawane
Ni kawaida binadamu kutofautiana na iyo ndio ishara kwamba kila mmoja anatumia akili yake kufikiri. Maisha ni kuchagua mzee mwenzangu hakuna atakaekuwekea bunduki kichwani kukulazimisha ufanye kipi.
 
Bwana wee ata wenye sura mbaya na shape kama michelin men nao wanataka wanaume wenye hela 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…