Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Unakutana na mdada mwenye mwonekano mzuri, shepu ipo, lakini yuko single, hana mtoto, na yupo kwenye umri wa kuolewa, mpaka unajiuliza huyu amelogwa na her village people, au ana jini mahaba, wanaume hawaoni uzuri wake au? Ila ukipata wasaa wa ku-interact nae kwa karibu zaidi utagundua kwanini yupo single.
Vizinga vya mara kwa mara vinafanya wadada wengi wapoteze wanaume wa maana, mwanaume hata kama alikuwa na malengo na wewe, ukianza vizinga, mwanaume ataona mmh huyu tapeli, hapa hamna mke, mwanaume anaanza kukushusha level, unakuta kila mara mdada akionana na wewe, buy me this, buy me that.
Mwanzoni nlikuwa nimekariri kwamba mdada anaekuomba hela sana hakupendi/hana malengo na wewe, nikaja kutana na baadhi ya wadada ambao wanapiga vizinga kama vyote, she hardly add any value in your life, alafu from her actions na maongezi yake, unaona kabisa huyu anategemea umuoe/uji-commit kwake, mwanaume unabaki is she serious.
Kuna category nyingine ya wadada ambao nawaita corporate ladies, baadhi wanafanya kazi sehemu k.v KPMG hapa bongo, wapo successful in their career, wanalipwa mshahara mzuri i.e 4 million tsh kwa mwezi, Wana magari, nyumba, wako in their late 20's or early 30's ila wapo single, ukiwauliza why are they single wanajibu kwani mwanaume atawapa nini.
Yani na wao wanataka waolewe na mwanaume anaewazidi kipato na cheo, wakati kitakwimu wengi wetu ni kina sisi (employed broke men) or jobless.
Some ladies wa jf wanasema wakiwa na uhakika wa hela hata nyege zinakata 🫢😁
Nakala cc: Zemanda Natafuta Ajira RedPill Prophet