Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
896
Wadau MMU.
Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.

Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu.

Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja.

Unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa yake lakini anasema wazi siwezi kuaacha ma boyfriends zangu.
 
kuna wanawake wana bahati eeeh....
mimi huyo mwanaume mmoja tu nimekosa.....
kumbe ndo maana sipati mwanaume....
kumbe wenzangu wamejiacummuletia macontena kwa macontena bana....
oooh poor me smile...
nitaishia kuangalia kwa macho..loh
 
:biggrin1: we si unachagua...wenzako ni sagula sagula....
 
Smile umeona eeeeh wengine hatuna hata wa kusagula kumbe kunawanaolimbikiza du jamani tuachien na ss
 
mh makubwa jamni,hiv mbona topic za kukandia wanawake ni nyingi hv?sasa kwa nini na nyie wanaume mnakubali kupangwa ka mafungu ya nyanya?....by da way wanume wengi pia wanawanawake wengi.
 
Wadau MMU.
Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.

Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu.

Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja.

Unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa yake lakini anasema wazi siwezi kuaacha ma boyfriends zangu.

Kwa sisi watafiti

ukiandika hivi swali la kwanza ntakalo kuliza JE UNAUSHAHIDI wa ku justfy haya uliyoyanena??
yaelekea ni maswali na majibu kwa mujibu wa halmashauri ya kichwa chako peke yako.
 
Ngono ni mtihani na hata Mwinyi alisema kila mtu anapapenda; nakubaliana na huyu jamaa-usipojichunga kama wewe ni mwanaume waweza kutembea na wanawake 2 hadi 7+ kwa siku, wanawake wanatongoza wenyewe..
 
wadau mmu.
Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.

Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu.

Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja.

Unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa yake lakini anasema wazi siwezi kuaacha ma boyfriends zangu.

ndio haswa maana ya .com! Lord have mercy!
 
kwa sisi watafiti

ukiandika hivi swali la kwanza ntakalo kuliza je unaushahidi wa ku justfy haya uliyoyanena??
Yaelekea ni maswali na majibu kwa mujibu wa halmashauri ya kichwa chako peke yako.

kwa kifupi ye mwenyewe ni victim!!!
 
katika masuala yoooooote ya mahusiano ya kimapenzi; wanawake = wanaume
 
Back
Top Bottom