Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Mwanamke au mwanaume kuwa na mahusiano lukuki inatokana na huluka ya mtu binafsi si pendelei upande wowote.
 
Wadau MMU.
Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.

Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu.

Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja.

Unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa yake lakini anasema wazi siwezi kuaacha ma boyfriends zangu.

Na wanaume wanaokuwa na hao 70% wanawake wanakuwa na wanawake wangapi kila mmoja??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli lakin asema cho jama tena sana sana hi ni kwa wale warembo wa town dah izi totoz za mjini ndo zime wa unga kama cheni ya mbwaa dah mara ana wakumtoa aut,wavocha,wanguo,wanauli dah achen bna kama mwana mke akiwa mzur tena dah lazma apapatikiwe huu ndo ukweli halis na hivyo kufanya mwana mke awa pange kama mafungu ya nyaya.
 
 
Last edited by a moderator:
Wanachofanya wao ndicho wanachofanya wanaume. . . hamna jipya!!!
 
duuuuuhh kazi ipo wanawake nyie acheni tuu...lazima awe na mtu wa pembeni hata iweje vyovyote utakavyompenda na kumuenzi lakini ipo siku utagundua..kitu
 
Back
Top Bottom