Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Mwanamke au mwanaume kuwa na mahusiano lukuki inatokana na huluka ya mtu binafsi si pendelei upande wowote.
 

Na wanaume wanaokuwa na hao 70% wanawake wanakuwa na wanawake wangapi kila mmoja??
 
Reactions: BAK
Kweli lakin asema cho jama tena sana sana hi ni kwa wale warembo wa town dah izi totoz za mjini ndo zime wa unga kama cheni ya mbwaa dah mara ana wakumtoa aut,wavocha,wanguo,wanauli dah achen bna kama mwana mke akiwa mzur tena dah lazma apapatikiwe huu ndo ukweli halis na hivyo kufanya mwana mke awa pange kama mafungu ya nyaya.
 
 
Last edited by a moderator:
Wanachofanya wao ndicho wanachofanya wanaume. . . hamna jipya!!!
 
duuuuuhh kazi ipo wanawake nyie acheni tuu...lazima awe na mtu wa pembeni hata iweje vyovyote utakavyompenda na kumuenzi lakini ipo siku utagundua..kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…