Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Wanawake wengi wanachangia sana kwa waume zao kuwa na vidumu aka nyumba ndogo. Mkiwa pamoja mwanamke ana visababu vingi sana vya kumfanya asiwajibike. Hivyo inawafanya wababa watoke (kidooogo) ili kurekebisha afya zao. Of course huko kwenye vidumu hakuna kulala maana kujituma kwao ni kwa kwenda mbele maana wanajua juhudi yake itamfanya urudi kwake. Amkeni wamama.
na nyinyi MPO PARFECT kwa wake zenu wasitoke nje?
mnayotakiwa kufanya yote mnafanya ndo mana wanatulia home ?
kwenye kutoka nje akuna justfcation kutoka ni kutoka..km kuna pbm asi muelezane ..ukienda nje ndo suluhisho?au icho kimada ndo kinakuwa kikombe cha babu kuponya ndoa yenu?
nyie mbna mna mapungufu meeeeng lakin aijawa sababu ya mkeo kutoka nje?
ahh naskia njaa mie bye:tonguez:
bwana rose hata nyie mnatoka 2, tena mby zaid mnapeana darasa ktk vijiwe vya umbea, unakuta mwanamke mke wa mtu badala ya kukaa na mumewe amweleze mapungufu yake yeye anaenda kuomba ushauri kwa mashoga zake, sasa huko ni kuokoa au kupoteza?
Huko ni kutulizana ndani ya ndoa au kujengeana mabanda madogo?
Huko kuokoa nyumba zetu au kuzibomoa kabisa?
Kwanza kbs tuelewe kuw wanawake mnapata raha zaidi ya 75% kwenye tendo kutokana na wataalamu wa mambo yenyewe, sasa kama nyie ndo wahanga wakubwa ni kwa nini usimuweke wazi mumeo ajirekebishe? "TÄFÀKÆRÏ!!! Chukua hatua" SH.
Rose, njaa gani? Njoo ule kwangu. Ki ukweli kutoka nje siyo kuzuri kidini, kiafya na kiuchumi pia. Lakini matatizo yakizi ndiyo hivyo tena huwa watu wanaenda ingawa kwa kweli kwenda huko ni hashara kubwa sana kwa mambo mengi sana. Shida moja ni kuwa huwa wagumu sana kujirekebisha.
Rweye niko pamoja na wewe, hayo uliyo sema sawa kabisa ndio maana wanaibiwa
nao ni wezi tena wazuri tuuuu!Rweye niko pamoja na wewe, hayo uliyo sema sawa kabisa ndio maana wanaibiwa
Njoo ufanyiwe maombi Rose utashibishwa Kiroho. Of course kimwili pia huduma ipo si ndiyo mada ya leo. Wewe hutakuwa kidumu ila utakuwa KIPIPA! Ha haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaanjaa ya kimwili na kiroho...UTANISHIBISHA?