Wanaboa sana wasichana wa leo,wanajua na wanathamini ku....... tu,ukimpa kazi kdogo wanaanza lawama,wengine wamelelewa macho kwenye tv na mda wote ana rimoti mkononi
mpe tambala la deki,akiosha na sahani mbili tu utasikia eti kachoka,zamani wakina mama walijua kusuka ukiri n.k,mpe wa siku hizi,mikono mwepesi kana kwamba imechemshwa,hata kusuka nywele wengi hawawezi,yaani kila kitu,oho,mara,..anatamani umsaidie hata kutandika kitanda
wanawake jueni wajibu wenu,kulegea kwenu kunawaharibia hakuna mme wa kukupenda kwa kufanya hvyo,maana nyinyi mnafikiri mtaonewa huruma na kupendwa kwa kudeka kwenu,mwisho mnaonekana ni mizigo,kumbukeni mapenzi yako constant na wajibu ktk mambo mengine ni kitu kingne tofauti
bahati mbaya hata mabibi siku hizi hamna,70% ya mafundisho ya kicheni pati ni kitandani na kuvaa,wajibu wenu mbali ya kudo hamfundishwi inavyotakiwa,hamfundishwi kuvumilia wala kukaza mikono kufanya kazi nyumbani,mnafundishwa kuosha nyuso,kucha na visigino,ndoa siyo visigino,ndoa ni taasisi,ndoa ni kazi!