Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Stress zinazowakumba wanawake wengi ni stress zifuatazo;
1. STRESS ZA MAREJESHO YA VICOBA.
Wanawake wengi wanacheza Vicoba vingi kuliko uwezo wao. Wana madeni na marejesho ni makubwa.
2. STRESS ZA MICHEZO YA KUTOANA.
Wanawake wengi wamejiunga na vikundi vingi vya kupeana pesa/kutoana ambavyo vimewazidi nguvu.
2. STRESS ZA NDOA NA MAHUSIANO.
Wanawake wengi wanasumbuliwa na ndoa/mahusiano yao. Waume zao wengi ni wagomvi, walevi wa kupindukia, wakalk sana, hakuna matunzo, n.k.
3. STRESS ZA MAISHA YA NDOTONI.
Wanawake wengi hawaamini maisha wanayoishi. Wanalinganisha maisha yao ya sasa na maisha waliyokuwa wanaishi vyuoni, n.k.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM