Wanawake wengi wanapenda Kuzaa watoto wengi. Mwanaume ni uamzi wako tu.

Wanawake wengi wanapenda Kuzaa watoto wengi. Mwanaume ni uamzi wako tu.

Ni rahisi kuzaa watoto wengi kama utafunga ndoa wote mke na mume mkiwa wadogo wadogo kiumri

Option ya pili mwanaume uoe mwanamke mdogo awe kama na miaka 20 hivi. Na wewe uwe hujazidi miaka 35.

Yaani mke awe kwenye umri wa quality eggs, na mwanaume uwe kwenye umri wa quality sperms.

Nje ya hapo ni ngumu sana. Hasa siku hizi wanawake wanaolewa wakiwa na 30 yrs and above
Sawa umeenda kibaiolohia zaidi.
 
Back
Top Bottom