Wanawake wengi wenu mkishapewa barua za uthibitisho mnabadilika kabisa

Wanawake wengi wenu mkishapewa barua za uthibitisho mnabadilika kabisa

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
993
Reaction score
2,045
Picha linaanza mnapokuwa kwenye mahusiano mnakuwa na adabu, utii na usikivu

Mnafichaga rangi zenu halisi mna pretend sana
Mwanamke atajishusha sana, kupokea cm Kwa wakati, mesej zinajibiwa Kwa wakati na akichelewa kujibu mesej au asipopokea cm ataandika essay kuelezea hali halisi mpka ahakikishe umemuelewa

Asubuhi unapewa maneno mazuri kabla ya kuingia kazini yani mpka unasema hivi huyu mwanamke alikuwa wapi kipindi unalizwa, yani unajiapiza kabisa kwamba lazima umuoe

Picha hugeuka pale unapompa rasmi barua ya UTHIBITISHO kwenye moyo wako Yani ukishamuoa mbele mashahidi mkatia Saini pale, au ukishamvuta mkaanza maisha pika pakua na mkazaa na katoto basi hapo kwisha habari yako

Wanawake badilikeni

Siyo wanawake tu hata wanaume pia tujitathimini katika hili
 
Kigeugeu ndo asili ya binadamu,unageukwa tu na ndugu yako anakubadilikia sembuse mtu wa kukutana nae barabarani ukubwani?
Japo sio wote..
nyie Kuna watu wameingia kwenye ndoa ni paradise hata kusema hawaraki kuhofia wataharibiwa.
Nawaombea sana watu wenye mioyo mema wakutane na wenye mioyo mema.
 
Back
Top Bottom