Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu

Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu

Ukweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana.

Wanaume wachache sana ambao watakataa ni wageni kwenye angle ya mapenzi na muonekano wa wanawake. Hivi vitumbo vipo sex sana, simaanishi Yale matumbo makubwa. Nadhani wengi mnavijua hivi

Hivi vitumbo (belly fat) vina mvuto na msisimko sana kuliko tumbo flat, tena ukute mnavaa zile skirt fupi plain ( Pencils Skirt) hakuna mwanaume ataacha kuconcetrate kuangalia hapo. Wenzenu wajanja wachache waliostuka ndio wanatumia kwenda kuombea pesa.

Kwenye vikao vyetu vyote tumekubaliana wanawake wenye hivi vitumbo chukueni maua yenu mapema sana.


View attachment 2624263View attachment 2624264
Hakika chukua maua yako Kwa post hii
 
Single mother wana shida gani? Kipi kinamuondolea uanamke wake au urembo wake?
Si ndo hapo. Binafsi naona haina shida. Kuzaa mbona jambo zuri tu. Single moms are as good as anybody. Wengi wao ni mature. Ni rahisi kuelewana kwenye mambo mengi ya maisha. Cha msingi play your part na support pale inapobidi within your means.
 
wengi sikuhizi wanavifunika na zile suruali zao za kubwaga, muhimu ni nyuma matako yajichole 😆😅😅
 
Njoo ninacho [emoji39] vipi ushaanza safari ya kibaha nikusubiri mbezi
 
Back
Top Bottom