Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu


Mhmmm!!
 
Mara nyingi vitumbo hivi hujitokeza baada ya uzazi wa kwanza. So mzazi utamtambua kwa hiko kitumbo😊
 
Genye zikukabapo huto waza vitumbo bali mlango wa kumalizia haja ya moyo wakoo ijapokuwa mabucha/wapishi ni tofauti ili hali nyama ni ile ilee
 
Mmmh kisa mama zuri alikuwa hana sio etii πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Binadamu wanatabia yakuponda vitu wanavyovikubali Zaidi.....Roma mkatoliki alivyotoa wimbo "nipeni maua yangu"we jamaa ulidiss Sana,eti wimbo mbaya,hujui kuandika mashairi,Sio mtunzi mahiri...Cha kushangaza Leo unatumia moja ya utunzi wake Kama kichwa Cha thread yako.....binadamu bwana
 
Kwenya vikao vya mabaharia unahudhuria?
Mwanangu kweli kabisa, masingo maza tunaluka nayo na hayana mbwembwe kama visista duuu mavi vyenyewe vinataka vikugeuze wewe kama ATM mashine yake. Lakini masingo maza ukimwambia sasa ivi nipo vibaya anatuliza mbwembwe sio izi kenge zinazotumia mapenzi kama mtaji wa kuishi apa duniani, na ndio maana kwa nchi za ulaya ni bora ununue malaya kuliko kuwa na mpenzi, maana ni stress unashindwa hata kuwekeza kuogopa ujambazi wa wanawake
 

Kafanye kazi wacha kuwaza ngono
 
Vitambi hivi vipo vizuri na shepu pia ipo nzuri sio ile ya ubonge nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…