Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Ukweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana.

Wanaume wachache sana ambao watakataa ni wageni kwenye angle ya mapenzi na muonekano wa wanawake. Hivi vitumbo vipo sex sana, simaanishi Yale matumbo makubwa. Nadhani wengi mnavijua hivi

Hivi vitumbo (belly fat) vina mvuto na msisimko sana kuliko tumbo flat, tena ukute mnavaa zile skirt fupi plain ( Pencils Skirt) hakuna mwanaume ataacha kuconcetrate kuangalia hapo. Wenzenu wajanja wachache waliostuka ndio wanatumia kwenda kuombea pesa.

Kwenye vikao vyetu vyote tumekubaliana wanawake wenye hivi vitumbo chukueni maua yenu mapema sana.

Screenshot_20230516-155547_1.jpg
Screenshot_20230516-162242_1.jpg
 
View attachment 2624263View attachment 2624264
Mwanamke na kitumbo wapi na wapi? Kweli kila mtu na preference yake.
 
We wadanganye tu, utawa date mwenyewe na hivyo viriba tumbo vyao.
 
Duh

Ngoja nikimwagilie kitumbo changu
 
Back
Top Bottom