Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Aisee!!! inapakwa kwenye mjulubeng then manzi ana rap kwenye maiki ?Uwa inachangamsha game balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!! inapakwa kwenye mjulubeng then manzi ana rap kwenye maiki ?Uwa inachangamsha game balaa
Mpaka leo najiuliza hua hawataki nn kionekane mpaka wanatakaga taa izimwe!!!Wale mademu ambao hawatak taa izimwe wapewe fanta ya moto
Sisi ambao tunasema ""iila weeeewe na ufanye haraka ntaunguza"
tunapewa nini?
Mi niliwahi kuunguza raba.Umenikumbusha mpare wangu mmoja alishaunguza sufuria ya nyama 😂😂😂😂😂 bahati nzuri kulikuwa na Nyama nyingine ya kutosha ndani ya fridge, ila harufu ya nyama ya kuungua nyumba nzima lol!!!
Mi niliwahi kuunguza raba.
Uchagani huko Mlimani, bariiidi la hatari.
Kikapigwa cha nguo nguo.
Sasa kumbe karibu na kitanda tulisahau mshumaa.
Raba isiungue soli nini?
Hahaha we acha tu.Cha nguo nguo 😂😂😂😂😂gauni inapandishwa juu kisha unakaa ule mkao wetu maarufu lol! huku umeshika kitanda!!! Duh! Mngeunguza nyumba kisa utamu lol! Hahahahaha