Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Aise, nimepewa jeshi, salute sana vijana.
 
Kuna wale wanawake akifika home anakwambia ana haraka au eti katumiwa meseji anaitwa kwao ili ukitumia akili unakula mzigo na wala hakuna haraka wla nini watumike kama reference. Na kuna wale anakuja amevaa pedi/pant liner anjifanya yuko period ila ukitumia akili unakula mzigo na hakuna cha MP wala nini kitu shwarii kuuu na ushirikiano anatoa kama wote wapewe nafasi katika jukwaa la imani, upendo na miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…