Cmfungua
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 381
- 1,083
- Thread starter
- #281
Haaaaaa kabsa yaaan umeona kakaHuu uzi umejaa fasta,SASA naelewa ile kauli ya kwamba TANZANIA tuko uchumi wa kati,ALL IN ALL wale madem ambao ukimaliza wanakupa moyo kwamba hawajawahi pata dozi kama yako.Wapewe raundi nyingine kuna mja kashalipia.
Ila muandika uzi unauja hizi ni lyrics kabisa za SONGI tulia uone kama kesho hutasikia wimbo(Nimeitazama kibiashara).