binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😂😂😂😂😂 Aiseeee!Wewe ndio umemuingiza sio mimi...
Nilikua very conscious wakati naandika soma vizuri usikurupuke kama wazee wa PGO!
After all nakufutia dhambi ya kuniita mshenzi kwa hati ya dharura