mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Kuna hawa wadada wanazungusha kiuno kama feni mbovu uku anakupa vyeo vyote sijui mara baba, baby sijui na anakua anahema juujuu ka fuso linapanda mlima....
Kwa heshima na taadhima vile viwanja vyote vya misikiti na makanisa ambavyo havijajengwa wapewe tu
Kwa heshima na taadhima vile viwanja vyote vya misikiti na makanisa ambavyo havijajengwa wapewe tu