Je? ungependa kuona picha!!?
Kwa niaba yake..ndio tungependa kuona picha.
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
Mtu km anajinsia mbili sio mwanamke wala mwanamme...ANAJINA LAKE. Hata hivyo mkuu mi nashindwa kujadili kitu km hakuna hata picha. WEKA PICHA
hahaha...umemjibu vizuri ana nimependaKwani huzijui zinsia za kike na kiume jamani au una hamu ya kuona K!!!
Mtu km anajinsia mbili sio mwanamke wala mwanamme...ANAJINA LAKE. Hata hivyo mkuu mi nashindwa kujadili kitu km hakuna hata picha. WEKA PICHA
Picha inbaki kuwa na umuhimuKwani huzijui zinsia za kike na kiume jamani au una hamu ya kuona K!!!