wanawake wenye jinsia mbili

wanawake wenye jinsia mbili

makery

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
33
Reaction score
3
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
 
Mtu km anajinsia mbili sio mwanamke wala mwanamme...ANAJINA LAKE. Hata hivyo mkuu mi nashindwa kujadili kitu km hakuna hata picha. WEKA PICHA
 
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu

Kuna binadamu wana jinsia mbili sio mwanamke ukishakuwa mwanamke tayari una uke pekee! Hao unaowazungumzia ni binadamu na itadepend ni ipi inafunction zaidi so kama ni hormone za kike ni nyingi muonekano outakuwa ni wa kike and vice versa! India ndio nilisikia wako wengi sana i think ni genetic problem huku kwetu kama wapo wanafichwa sana
 
Kwani huzijui zinsia za kike na kiume jamani au una hamu ya kuona K!!!
Mtu km anajinsia mbili sio mwanamke wala mwanamme...ANAJINA LAKE. Hata hivyo mkuu mi nashindwa kujadili kitu km hakuna hata picha. WEKA PICHA
 
Ingieni Google search shemales utawaonaaaaaa wengiiiiiiii
 
hivi missie mfano akakutokea mmoja dushe yake ipo poa, utampa?
 
Shemale.svg.png
Intersexed/hermaphrodite: A person born with ambiguous genitalia. Intersexed conditions include Androgen Insensitivity Syndrome, Klinefelter's Syndrome, vaginal agenesis, ovotestes, and anyone who is not XX or XY.

or

Male-to-Female Transsexual: A person born physically male at birth, but who identifies their gender as female. Most choose to transition, undergoing hormone therapy and probably surgery.

And yes, both are conditions that you are born with.

Back
Top Bottom