Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Mkojo wa mwanamke siyo issue kwangu... harufu ya uke wake siyo issue kwangu... denda la asubuhi siyo issue kwangu... issue ni kinyesi, kwapa... etc...Duh mzee ww utakuwa unakula hata takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkojo wa mwanamke siyo issue kwangu... harufu ya uke wake siyo issue kwangu... denda la asubuhi siyo issue kwangu... issue ni kinyesi, kwapa... etc...Duh mzee ww utakuwa unakula hata takataka
Ha ha ha ha ha ha basi sawa..Mkojo wa mwanamke siyo issue kwangu... harufu ya uke wake siyo issue kwangu... denda la asubuhi siyo issue kwangu... issue ni kinyesi, kwapa... etc...
Mimi tena nini?Ndo wewe tena?
Umekua inzi?Vichafu ndiyo vitamu..
Ulisema 'mtuwachee"kisha ukaja kumuunga mkono mdau mmoja hivi.Mimi tena nini?
Hata viatu vyao vya visigino virefu wanavyovaa ni hatariNi ujinga kufuga mikucha halaf mikucha yenyewe ya kubandika lakini wanawake ni wahanga wa kuiga kila kitu bila hata kuchuja
Ha haa kumbe wanchabo tu...Ulisema 'mtuwachee"kisha ukaja kumuunga mkono mdau mmoja hivi.
Sina hakika.Hali hii husababishwa na wanawake wa dizaini hii kushindwa kuosha uke kwa ndani kwa kuhofia kucha zao zitawaumiza.
Kwa hiyo kama mkeo au mchumba wako ana kucha ndefu jiandae kisaikolojia kupambana na bwawa la mabibo au mlimani na harufu ya kutosha.
Onyo, usijaribu kwenda chumvini na mwanamke wa dizaini hii,utababuka ulimi au uso kuvimba.
Hawajielewi hawa wanakopi kila kituHata viatu vyao vya visigino virefu wanavyovaa ni hatari
Anaakili sana huyo, maanake hataki kuwa keroMmoja alisema anaviringisha kitambaa kwenye kidole then anazamisha kunako k kuosha
Mhhh ok, mi nafuga kucha mkono wa kushoto mwaka wa 7 huu, huwa sikati kabisa zaidi ya kuzipunguza tu , ni safi na zinapendeza. (Kwa mujibu wangu na hubby). Napaka rangi au henna kucha za miguuni tu na si za mikononi. Kabla ya kujisafisha kwa bibi huku nahakikisha Mikono yangu ni misafi kabisa na huwa situmii public toilets.Kuna mambo hayahitaji data....wala ujue research methodology wala chchote.
Fact fact fact.....kateni kucha hizo at least hats mkono mmoja basi
Unapoambiwa uke unajisafisha ndani ni kwamba uke unajisafisha na uchafu unakua deposited kwenye vaginal opening (mouth). Kuanzia hapo unasafisha mwenyewehili la kusafisha uke kwa ndani nimegoma kulielewa. navyojua uke unajisafisha wenyewe huko ndani. kuchokonoa uke ni kujitafutia maradhi. uchafu ukifika nje ndo uusafishe. mbona hamchokonoi pua kufata makamasi huko yanakoanzia?
pressure tap sidhani kama ni kwa ajili ya kupiga maji hadi vaginal opening peke yake. na kama pressure tap inapiga hadi vaginal opening basi tunashukuru kwani hata mikono haihitajiki tena maana inasafisha uchafu kwa presha. kazi ya mikono inabaki kujikausha tu. Pressure tap imezingatia maumbile ya haja kubwa kwa wote na haja ndogo kwa wanawake yalikokaa na hatari ya kugusa kinyesi kwa mikono. binafsi huwa sielewi kama hakuna hiyo pressure tap wala toilet paper mtu akijisaidia haja kubwa inakuwaje hata kama kuna maji ya kukinga kwa kopo. ina maana atashika mabaki ya kinyesi live bila chenga. sasa ukizingatia u vyoo vingi havina sabuni na watu wengi hawana utamaduni wa kunawa mikono inakuwa shida. Anyway, mada ni urefu wa kucha. Urefu wa kucha ambao ni kikwazo ni ule unaomsababisha mhusika ashindwe kushika kitu kwa hiyo mtu anapofuga kucha anakuwa anajua anavyofanya mambo yake. Sehemu zake za siri ataziosha kama anavyoosha uso wake. Nadhani tatizo ni obssession na sehemu za siri ndo inasumbua watu.Unapoambiwa uke unajisafisha ndani ni kwamba uke unajisafisha na uchafu unakua deposited kwenye vaginal opening (mouth). Kuanzia hapo unasafisha mwenyewe
Sasa kama una kucha ndefu unasafishaje hapo? Maana panasafishwa na maji safi kwa mikono tu basi. Huruhusiwi kutia chochote zaidi ya maji.
Wewe unafikiri kwanini chooni kumewekwa pressure tap ya kutawazia kama uke unajisafisha wenyewe kila mahali??
Pressure tap ni kwa ajili ya kupiga maji hadi kwenye vaginal opening bi dada[emoji108]
Google for more info.
Ngoja nisubiri hizo daliliHali hii husababishwa na wanawake wa dizaini hii kushindwa kuosha uke kwa ndani kwa kuhofia kucha zao zitawaumiza.
Kwa hiyo kama mkeo au mchumba wako ana kucha ndefu jiandae kisaikolojia kupambana na bwawa la mabibo au mlimani na harufu ya kutosha.
Onyo, usijaribu kwenda chumvini na mwanamke wa dizaini hii,utababuka ulimi au uso kuvimba]