Belladonna Alkaloid
Member
- Dec 22, 2023
- 73
- 80
Habari wakuu na hongereni kwa majukumu. Mimi ni kijana mpambanaji hapa mjini D'salaam.
Kufupisha story hii siku ya jana nilipanda bajaji kutoka Mwanagati mwisho kuelekea Buza kwa mama kiponge baada ya kutembea hatua chache akapanda dada wa makamo hivi ana mzigo kama kichuguu ghafla kituo kinachofuata akapanda mwanamke mwingine mwenye mpododo. Kwa kweli nilibanwa upande wa kulia hadi simu iliyokuwa mfukoni upande huo ikavunjika kioo.
Leo nimeenda kuulizia bei ya kioo ni 200,000/= tsh nimepata hasara. Wito wangu najua makalio makubwa ni ufahari kwenu lakini ni kero kwa watu wengine. Kama una makalio makubwa muwe mnarequest Uber au bolt.