Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hata humu nimeona. Nina uzoefu. Walio na makalio wana utulivu sana hata matusi hawana. Sasa ukutane na akina Miss Kimbangulile..... Wana maneno sana.Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi mwingine kwa sababu mbali mbali.Sababu kubwa niliyogundua Ni muonekano wa nje ( physical appearance) wa mwanamke ndio unamfanya kuwa ama kutokuwa na confidence.
Kwa hiyo katika utafiti wangu niligundua kwamba wanawake wenye makalio makubwa au wenye wowowo Ni Wana confidence kubwa Sana tena Ni wenye kujiamini ukiwacompare na wenzao ambao hawakujaliwa makalio makubwa.
Yaani ukipishana na wanawake wenye wowowo barabarani utawaona wamechangamka Sana tena wanatembea kwa kujiamini Sana.
Unaweza kutana na dada wa watu ukadhani huyu labda amesoma Hadi huko Havard kumbe kichwani sifuri tu aliishia la Saba ila ujasiri alionao sio wa kitoto Yaani.Utagundua kwamba kitu kikubwa kinachompa ujasiri na kujiamini Sana Ni ule muonekano wake mzuri ( sura nzuri na msambwanda) aliojaliwa na Mungu.
Si rahisi umkute dada ambaye hakujaliwa muonekano mzuri especially makalio ya kueleweka, Ana confidence Kama wenzao waliojaliwa umbo zuri.Wengi wait wanakuwaga wapole Sana Yaani hawanaga machachari kbsa.Ndio maana siku hizi unaskia wanawake wakikwea pipa kwenda Uturuki na Uchina ili wafanyiwe surgery ya miili yao ikiwemo kutengeneza makalio na mengineyo ili waweze kuwa na muonekano mizuri ya kuvutia.
Wanaume wengi Sasa udhaifu wetu upo kwenye makalio ya wanawake.I swear Hakuna mwanaume ambaye atakutana na mwanamke mwenye shape nzuri barabarani afu akose kugeuka kumuangalia kwa Mara ya pili😂.
Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao. Nakwambia hapa asilimia 99 lazima watamchagua huyo mwanamke mwenye makalio makubwa.
Utakuwa miss kimbangulile.Makalio makubwa na kujiamini = maji na mafuta
Haviendani.
Wenye flat screen tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana..!!😂😂😂Sasa mwanamke unaachaje kujiamini kwa mfano? Na siyo kwamba wanawake waliojaaliwa, wanajiamini kwaajili ya kufungasha kwao. Ile tu alivyo mtu anaogopa 😀😀😀
Nimeshangaa kuona wadada nanyinyi, mnaponda waliojaaliwa serious!!!
Ndiyo Mungu alivyoumba, mbona sisi hatuwasemi na flat screen zenu?
Flat screen mna makasiriko sana 🤣🤣🤣🤣🤣 mtasema siye ndiyo tuliwanyima misambwanda. Mmekichafua sana kwenye huu uzi. Ila aliyepewa kapewa tu 😄😄😄😄😄Wenye flat screen tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana..!!😂😂😂
Ila tbh, mdada akiwa na shape huwa na appreciate jamani nahisi ningekuwa mwanaume, mzabzab angerudi shule..!!
Huwezi amini hata sijasoma huko mbele nimepatana tu na hii comment kwenye New Trending,Flat screen mna makasiriko sana 🤣🤣🤣🤣🤣 mtasema siye ndiyo tuliwanyima misambwanda. Mmekichafua sana kwenye huu uzi. Ila aliyepewa kapewa tu 😄😄😄😄😄
Kumbee na wee unapenda kuangalia msambwanda na lishape sexy la mwanamke mwenzio🤣🤣🤣Wenye flat screen tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana..!!😂😂😂
Ila tbh, mdada akiwa na shape huwa na appreciate jamani nahisi ningekuwa mwanaume, mzabzab angerudi shule..!!
Nakwambia nilipigwa ban acha kabisa 😂kwahyo ndio umekula Ban😁😀🤣
Sitanii walaUsinitanie we mtoto!!!😳
Ulileta ukorofi gani hadi kupigwa pingu?Sitanii wala
Umenifanya nicheke mkuuTako kwa mwanamke ni sawa na 4WD ya Suzuki Carry. Sijawahi kuona umuhimu wake
Kuna mpuuzi alinitukana nikawa kimya alivozid nkamtukana piaUlileta ukorofi gani hadi kupigwa pingu?
Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi mwingine kwa sababu mbali mbali.Sababu kubwa niliyogundua Ni muonekano wa nje ( physical appearance) wa mwanamke ndio unamfanya kuwa ama kutokuwa na confidence.
Kwa hiyo katika utafiti wangu niligundua kwamba wanawake wenye makalio makubwa au wenye wowowo Ni Wana confidence kubwa Sana tena Ni wenye kujiamini ukiwacompare na wenzao ambao hawakujaliwa makalio makubwa.
Yaani ukipishana na wanawake wenye wowowo barabarani utawaona wamechangamka Sana tena wanatembea kwa kujiamini Sana.
Unaweza kutana na dada wa watu ukadhani huyu labda amesoma Hadi huko Havard kumbe kichwani sifuri tu aliishia la Saba ila ujasiri alionao sio wa kitoto Yaani.Utagundua kwamba kitu kikubwa kinachompa ujasiri na kujiamini Sana Ni ule muonekano wake mzuri ( sura nzuri na msambwanda) aliojaliwa na Mungu.
Si rahisi umkute dada ambaye hakujaliwa muonekano mzuri especially makalio ya kueleweka, Ana confidence Kama wenzao waliojaliwa umbo zuri.Wengi wait wanakuwaga wapole Sana Yaani hawanaga machachari kbsa.Ndio maana siku hizi unaskia wanawake wakikwea pipa kwenda Uturuki na Uchina ili wafanyiwe surgery ya miili yao ikiwemo kutengeneza makalio na mengineyo ili waweze kuwa na muonekano mizuri ya kuvutia.
Wanaume wengi Sasa udhaifu wetu upo kwenye makalio ya wanawake.I swear Hakuna mwanaume ambaye atakutana na mwanamke mwenye shape nzuri barabarani afu akose kugeuka kumuangalia kwa Mara ya pili😂.
Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao. Nakwambia hapa asilimia 99 lazima watamchagua huyo mwanamke mwenye makalio makubwa.
Mie ninayo kabisa sio la uturukiHili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi mwingine kwa sababu mbali mbali.Sababu kubwa niliyogundua Ni muonekano wa nje ( physical appearance) wa mwanamke ndio unamfanya kuwa ama kutokuwa na confidence.
Kwa hiyo katika utafiti wangu niligundua kwamba wanawake wenye makalio makubwa au wenye wowowo Ni Wana confidence kubwa Sana tena Ni wenye kujiamini ukiwacompare na wenzao ambao hawakujaliwa makalio makubwa.
Yaani ukipishana na wanawake wenye wowowo barabarani utawaona wamechangamka Sana tena wanatembea kwa kujiamini Sana.
Unaweza kutana na dada wa watu ukadhani huyu labda amesoma Hadi huko Havard kumbe kichwani sifuri tu aliishia la Saba ila ujasiri alionao sio wa kitoto Yaani.Utagundua kwamba kitu kikubwa kinachompa ujasiri na kujiamini Sana Ni ule muonekano wake mzuri ( sura nzuri na msambwanda) aliojaliwa na Mungu.
Si rahisi umkute dada ambaye hakujaliwa muonekano mzuri especially makalio ya kueleweka, Ana confidence Kama wenzao waliojaliwa umbo zuri.Wengi wait wanakuwaga wapole Sana Yaani hawanaga machachari kbsa.Ndio maana siku hizi unaskia wanawake wakikwea pipa kwenda Uturuki na Uchina ili wafanyiwe surgery ya miili yao ikiwemo kutengeneza makalio na mengineyo ili waweze kuwa na muonekano mizuri ya kuvutia.
Wanaume wengi Sasa udhaifu wetu upo kwenye makalio ya wanawake.I swear Hakuna mwanaume ambaye atakutana na mwanamke mwenye shape nzuri barabarani afu akose kugeuka kumuangalia kwa Mara ya pili😂.
Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao. Nakwambia hapa asilimia 99 lazima watamchagua huyo mwanamke mwenye makalio makubwa.
Avatar inapendeza sanaMie ninayo kabisa sio la uturuki
Pole utakuwa huna tako wewe 😂😂Sikuzote wanaume wanajitutumua tu lakini hawana akili...ndo maana wananuka vinywa kama choo cha manispaa
Ninalo mkuu,tena la kukalisha mtoto pasipo mberekoPole utakuwa huna tako wewe 😂😂