Wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini Sana kuliko wasio na makalio makubwa

oJbHf~1.jpg
 
Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi mwingine kwa sababu mbali mbali.Sababu kubwa niliyogundua Ni muonekano wa nje ( physical appearance) wa mwanamke ndio unamfanya kuwa ama kutokuwa na confidence.

Kwa hiyo katika utafiti wangu niligundua kwamba wanawake wenye makalio makubwa au wenye wowowo Ni Wana confidence kubwa Sana tena Ni wenye kujiamini ukiwacompare na wenzao ambao hawakujaliwa makalio makubwa.
Yaani ukipishana na wanawake wenye wowowo barabarani utawaona wamechangamka Sana tena wanatembea kwa kujiamini Sana.

Unaweza kutana na dada wa watu ukadhani huyu labda amesoma Hadi huko Havard kumbe kichwani sifuri tu aliishia la Saba ila ujasiri alionao sio wa kitoto Yaani.Utagundua kwamba kitu kikubwa kinachompa ujasiri na kujiamini Sana Ni ule muonekano wake mzuri ( sura nzuri na msambwanda) aliojaliwa na Mungu.

Si rahisi umkute dada ambaye hakujaliwa muonekano mzuri especially makalio ya kueleweka, Ana confidence Kama wenzao waliojaliwa umbo zuri.Wengi wait wanakuwaga wapole Sana Yaani hawanaga machachari kbsa.Ndio maana siku hizi unaskia wanawake wakikwea pipa kwenda Uturuki na Uchina ili wafanyiwe surgery ya miili yao ikiwemo kutengeneza makalio na mengineyo ili waweze kuwa na muonekano mizuri ya kuvutia.

Wanaume wengi Sasa udhaifu wetu upo kwenye makalio ya wanawake.I swear Hakuna mwanaume ambaye atakutana na mwanamke mwenye shape nzuri barabarani afu akose kugeuka kumuangalia kwa Mara ya pili😂.

Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao.
Nakwambia hapa asilimia 99 lazima watamchagua huyo mwanamke mwenye makalio makubwa.
"Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao."

Mara nyingi vigezo hivyo huwaga tunavitumia kukizi tamaa za kiume, ila ikija kwenye choice ya kuoa kwenye list huyo mwenye makalio makubwa Mara nyingi anakuwaga wa mwisho anaye olewa ni yule msiye mtarajia.
 
Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi mwingine kwa sababu mbali mbali.Sababu kubwa niliyogundua Ni muonekano wa nje ( physical appearance) wa mwanamke ndio unamfanya kuwa ama kutokuwa na confidence.

Kwa hiyo katika utafiti wangu niligundua kwamba wanawake wenye makalio makubwa au wenye wowowo Ni Wana confidence kubwa Sana tena Ni wenye kujiamini ukiwacompare na wenzao ambao hawakujaliwa makalio makubwa.
Yaani ukipishana na wanawake wenye wowowo barabarani utawaona wamechangamka Sana tena wanatembea kwa kujiamini Sana.

Unaweza kutana na dada wa watu ukadhani huyu labda amesoma Hadi huko Havard kumbe kichwani sifuri tu aliishia la Saba ila ujasiri alionao sio wa kitoto Yaani.Utagundua kwamba kitu kikubwa kinachompa ujasiri na kujiamini Sana Ni ule muonekano wake mzuri ( sura nzuri na msambwanda) aliojaliwa na Mungu.

Si rahisi umkute dada ambaye hakujaliwa muonekano mzuri especially makalio ya kueleweka, Ana confidence Kama wenzao waliojaliwa umbo zuri.Wengi wait wanakuwaga wapole Sana Yaani hawanaga machachari kbsa.Ndio maana siku hizi unaskia wanawake wakikwea pipa kwenda Uturuki na Uchina ili wafanyiwe surgery ya miili yao ikiwemo kutengeneza makalio na mengineyo ili waweze kuwa na muonekano mizuri ya kuvutia.

Wanaume wengi Sasa udhaifu wetu upo kwenye makalio ya wanawake.I swear Hakuna mwanaume ambaye atakutana na mwanamke mwenye shape nzuri barabarani afu akose kugeuka kumuangalia kwa Mara ya pili😂.

Hata ukiwachukuwa wanawake wawili mmoja mwenye makalio makubwa na mwingine asiye na makalio makubwa uwaweke pamoja Kisha uwaambie wanaume wachague mwanamke mmoja Kati yao.
Nakwambia hapa asilimia 99 lazima watamchagua huyo mwanamke mwenye makalio makubwa.
Ila asilimia kubwa wana show mbovu, na sio watamu. Hawana ladha. Ni umbo tu, ila ladha 80% hawajajaliwa
 
Back
Top Bottom