Wanawake wenye makalio makubwa

Wanawake wenye makalio makubwa

Mchina yuko kwenye kochi anashushia juice bariiiiidi akiona kazi yake inavyolipa

wanawake wengine walimbukeni sana, hawaridhiki na walichonacho wanataka wowowo, anyways kila mtu na maisha yake
Jose mambo vipi mdau ? Za siku nyingi ?
 
Mchina yuko kwenye kochi anashushia juice bariiiiidi akiona kazi yake inavyolipa

wanawake wengine walimbukeni sana, hawaridhiki na walichonacho wanataka wowowo, anyways kila mtu na maisha yake
Sasa naona mmeanza kusingizia wanawake, hivi waloanza kuyataka hayo mattacore makubwa siyo wanaume ni wanawake tena..??
 
halafu ukute amabarikiwa na sura,hapo ni balaaa.....wenye vipato na vyeo watamfuata
 
Mchina yuko kwenye kochi anashushia juice bariiiiidi akiona kazi yake inavyolipa

wanawake wengine walimbukeni sana, hawaridhiki na walichonacho wanataka wowowo, anyways kila mtu na maisha yake
Halafu yeye mchina kapigwa pasi matata
 
Lazima nikubali hii.
Sote ni watu wazima, kwa hivyo hakuna sababu ya mimi kuificha. Kuna sifa zingine kadhaa ninazotafuta kwa mwanamke, kwa kweli. Walakini, ni lazima nikiri kwamba nina udhaifu mkubwa kwa wanawake walio na matako makubwa, ambao matako yao hutetemeka wanapotembea, n.k Aina ya kitako ambacho unaweza kudhani lazima iwe kubwa hata kutoka kwa kutazama kiuno chake kutoka mbele. Wanawake wenye matako makubwa ni pombe yangu.

Sasa, sijaribu kuwa na maoni yasiyofaa, lakini mara nyingi nimekutana na wanawake wengi wenye tabia hii ya kimaumbile ambao hawako kwenye harakati za kielimu na hawawezikuwa na mazungumzo ya akili. Nimeona wengi wana tabia za kiburi kiburi na nyodo.

Mara nyingi wanapenda kutembea mahali ambapo watu wengi wangewaona, wanapenda attention iliyozidi na hawawezi kuonekana kwenye maktaba wakisoma au kusoma kitabu,.
Weka picha tuone
 
Ujinga wa kupenda tako hua hauishii hapohapo kwenye tako, hua unahamia kwenye kile kilichofichwa na hilo tako.
Dunia inakimbia kwa kasi sana.
Na shetani alivyo mjanja nae kaamua kuvaa rozali ili kutumuaminisha kua yeye pia ni mtumishi wa mpakwa mafuta.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..... Eti sura Kama remyongala
[emoji23][emoji23], yani sura kama remi ongala lakini bado inavutia kuangalia akitembea, yani moyo unatulia kimya unaangalia tu mzigo unavyoenda[emoji23]
 
[emoji23][emoji23], yani sura kama remi ongala lakini bado inavutia kuangalia akitembea, yani moyo unatulia kimya unaangalia tu mzigo unavyoenda[emoji23]
Ana Ngongingo....Wowowo
 
Hata utambulisho wao ni, Simama Basi shemeji zako wakuone. Wanavutia nje tu lkn ndani (bed to bed @ Head). Ni empty
 
Hao wenye makalio makubwa Sina hamu nao tena ,wanatusababishia ajali na maumivu makali.Wewe binti unayofanya kazi TTCl Ubungo plaza ulinisababishia ajali napata maumivu makali ya kugongwa na bodaboda Kisha kugeuka kichwa kukuangalia ukiwa unatingisha makalio maksudi hadi nagongwa na bodaboda.
 
Back
Top Bottom