Hahaaa. Kwa nilipofikia sikipati tena mkuu.Aaah basi nikajua na wewe umo kwenye timu Kitux. Jitahidi usipate sasa
hahahahahahahahaIla jf hapana jaman hivi wanawake tuliwakosea nini humu
Si ndo hapo mdogo wangu ila mm nlishagundua hawa wanaopondaga vitu Fulani ujue anacho ,halafu anajibaraguza hapa oooh hv na vileIla jf hapana jaman hivi wanawake tuliwakosea nini humu
Hahahahaha we nawe kafanye mazoezi bhna utoe tumbo Hilo kaaah kwahyo umemaind sioTumbo la mtu mwingine shida unayo wewe khaaa
Pambana na hali yako bila kutingisha wengine
Miss u mnoooKweli kabisa pacha.
Sijambo kabisa pacha namshukuru allah. Sijui wewe.
Yaan ujue huwa nawaza sana utafikili hao wanawake sio mama zao na usikute mtoa mada ana mkitambi wake tu hapo sema ndio hivyo mambo ya avatar fakeSi ndo hapo mdogo wangu ila mm nlishagundua hawa wanaopondaga vitu Fulani ujue anacho ,halafu anajibaraguza hapa oooh hv na vile
Kweli mkuu usichekehahahahahahahaha
Pacha angu kumbe unapenda chura kama mimi![emoji28][emoji28][emoji28]Mwanamke mwenye tumbo frani hivi halafu kitovu cha ndani ana raha yake ukute na tako lipo kiasi hua wananimaliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe huwa najiuliza na sijapata jibu mpaka leo dada ake.Ila jf hapana jaman hivi wanawake tuliwakosea nini humu
Hahaaa. Tuseme wanajifariji si eti pacha.Si ndo hapo mdogo wangu ila mm nlishagundua hawa wanaopondaga vitu Fulani ujue anacho ,halafu anajibaraguza hapa oooh hv na vile
Hawa watu hapana jaman ni kuwasamehe tu hawajui watendaloMi mwenyewe huwa najiuliza na sijapata jibu mpaka leo dada ake.
Kuna uzi wao wa vitambi kule wametoa povu mpaka basi.
Ha ha ha ha ha hahπππππππSs kula yangu inakupaje taabu ww,pambana na hali yako bwana,wacha tugonge misosi kwan nn bwana
Mie ndio zaidi pacha. [emoji8] [emoji8].Miss u mnooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan ujue huwa nawaza sana utafikili hao wanawake sio mama zao na usikute mtoa mada ana mkitambi wake tu hapo sema ndio hivyo mambo ya avatar fake
Mkuu kama niivyo sawa. Ila kuna wanawake wengine ni wabishi sana.Hahaaa. Kwa nilipofikia sikipati tena mkuu.
Kabisa inabidi tuwasamehe tu hakuna lingine.Hawa watu hapana jaman ni kuwasamehe tu hawajui watendalo
Wabishi kwenye nini mkuu?Mkuu kama niivyo sawa. Ila kuna wanawake wengine ni wabishi sana.
Yaaaa niko poa pacha wa mie,tunaongezea siku hapa maana ukicheka ushaongeza siku tayariMie ndio zaidi pacha. [emoji8] [emoji8].
Ila nafurahi pacha mana kukuona huku tu inamaanisha uzima upo.
Utakuta MTU asubuhi kala chapati 2 mchana ugali nyama au samaki usiku Kitimoto kilo mzima na lite kama 2 sasa ataachaje kuwa na kitambi?hakika ulaji mbovu unatuharibu shepu wadada
Kweli dada akee tuishukuru sana jf kwa avatar fake tungekuwa tunakimbiana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]