Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Si ndo hapo mdogo wangu ila mm nlishagundua hawa wanaopondaga vitu Fulani ujue anacho ,halafu anajibaraguza hapa oooh hv na vile
Yaan ujue huwa nawaza sana utafikili hao wanawake sio mama zao na usikute mtoa mada ana mkitambi wake tu hapo sema ndio hivyo mambo ya avatar fake
 
Ila jf hapana jaman hivi wanawake tuliwakosea nini humu
Mi mwenyewe huwa najiuliza na sijapata jibu mpaka leo dada ake.

Kuna uzi wao wa vitambi kule wametoa povu mpaka basi.
 
Si ndo hapo mdogo wangu ila mm nlishagundua hawa wanaopondaga vitu Fulani ujue anacho ,halafu anajibaraguza hapa oooh hv na vile
Hahaaa. Tuseme wanajifariji si eti pacha.
 
Utakuta MTU asubuhi kala chapati 2 mchana ugali nyama au samaki usiku Kitimoto kilo mzima na lite kama 2 sasa ataachaje kuwa na kitambi?hakika ulaji mbovu unatuharibu shepu wadada
810bc185e74a07c434da6e7813b4fafe.jpg

Hongera bibie. Naona wewe uko flat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom