Me mzima sana ndugu hofu kwako tuKabisa inabidi tuwasamehe tu hakuna lingine.
Pia nakusalimia dada ake, umzima weye?
Duh... hii ni post yako ya kwanza tangu ujiunge JF
Mkijisikia kutuchana tuchaneni tuIla jf hapana jaman hivi wanawake tuliwakosea nini humu
Kweli kabisa pacha mana kwa post za jf kucheka ni lazima aisee ndio mana huwa sijawahi jutia kujiunga jf.Yaaaa niko poa pacha wa mie,tunaongezea siku hapa maana ukicheka ushaongeza siku tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh... hii ni post yako ya kwanza tangu ujiunge JF
Hakika tunategemea kupata mengi toka kwako...
maana si kwa speed hii...
Cheka mkuu tupunguze stress za Sizonje maana hali ni teteHa ha ha ha ha hah😀😀😀😀😀😀😀
Sijambo kabisa namshukuru mungu. Tupo ndugu yangu.Me mzima sana ndugu hofu kwako tu
Yaani mwanamke mwenye chura anavutia,balaa alale kifudifudi kitandan uone lile wowo limevimba kama nundu ya ngo'mbe hakika huachi kuendelea na mchezoPacha angu kumbe unapenda chura kama mimi![emoji28][emoji28][emoji28]
Mmh. Wanaume wa humu mnachanika?Mkijisikia kutuchana tuchaneni tu
Yeah kikubwa ni uzima Mungu ni mwaminifu sana kwetu dadaSijambo kabisa namshukuru mungu. Tupo ndugu yangu.
Kila majibu utakutana nayo aisee , mengine waweza kuzirai kwa muda lolKweli kabisa pacha mana kwa post za jf kucheka ni lazima aisee ndio mana huwa sijawahi jutia kujiunga jf.
Kwahiyo umeamua kutujia na i'd yako ya pili rafikiPacha angu kumbe unapenda chura kama mimi![emoji28][emoji28][emoji28]
Mmh
Aisee! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama utafiti unavyosema kwenye kila wanawake watatu ..wawili wana mtumbo..a.k.a kiroba..ama kifriji. Kitumbo ama cha bia ama chips ama Kitimoto.
Sasa wale wenye matumbo flat screen ambao kisayansi ni watamu..wamekuwa adimu sanaaaa..hotcakes.. Wanawake pambaneni na mitumbo yenu..hizi si zama za jakaya.
Tafiti hupingwa na tafiti.
Unakuta mdada ana kitumbo kha kiroba cha mchanga..khaaa.ukimwambia akae staili ya kifo cha mende anakuwa Kama chura!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli dada akee tuishukuru sana jf kwa avatar fake tungekuwa tunakimbiana humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila majibu utakutana nayo aisee , mengine waweza kuzirai kwa muda lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vip anasoma na comments?We jamaaa umenifanya nicheke saana. Kwenye dalaladala alafu pembeni yangu kuna Dada mada inamuhusu muda mwingi alikuwa anaichungulia simu yangu baaada ya kuona hii mada nimemwekea asome
We mbaya aiseee.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwahiyo umeamua kutujia na i'd yako ya pili rafiki