Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Yaaaa niko poa pacha wa mie,tunaongezea siku hapa maana ukicheka ushaongeza siku tayari
Kweli kabisa pacha mana kwa post za jf kucheka ni lazima aisee ndio mana huwa sijawahi jutia kujiunga jf.
 
Duh... hii ni post yako ya kwanza tangu ujiunge JF

Hakika tunategemea kupata mengi toka kwako...

maana si kwa speed hii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
810bc185e74a07c434da6e7813b4fafe.jpg


Hongera bibie. Naona wewe uko flat

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh
 
Kama utafiti unavyosema kwenye kila wanawake watatu ..wawili wana mtumbo..a.k.a kiroba..ama kifriji. Kitumbo ama cha bia ama chips ama Kitimoto.

Sasa wale wenye matumbo flat screen ambao kisayansi ni watamu..wamekuwa adimu sanaaaa..hotcakes.. Wanawake pambaneni na mitumbo yenu..hizi si zama za jakaya.

Tafiti hupingwa na tafiti.
Unakuta mdada ana kitumbo kha kiroba cha mchanga..khaaa.ukimwambia akae staili ya kifo cha mende anakuwa Kama chura!!
Aisee! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Heading tu nimecheka mpaka baasi!

Longlive jf

post using my macbook air using jamiiforums app
 
We jamaaa umenifanya nicheke saana. Kwenye dalaladala alafu pembeni yangu kuna Dada mada inamuhusu muda mwingi alikuwa anaichungulia simu yangu baaada ya kuona hii mada nimemwekea asome
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vip anasoma na comments?

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom