[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha. Hazijawahi nidanganya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama unaziamini hisia zako mkuu basi jua umepatia kwa 100%
hahahahaahaha,najua best,naonaga ila si mshazoea?maana na nyie mkiamuaga lolKweli mkuu usicheke
Acha kumfananisha Baba D na hizo mambo za i'd nyingiRafiki mimi ID yangu ya pili ni lee empire!![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mwanamke unajua kutetea chako!Acha kumfananisha Baba D na hizo mambo za i'd nyingi
Alikimbia baada ya kusoma Uzi tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] vip anasoma na comments?
post using my macbook air using jamiiforums app
sorry ni jiwe gizani au?
Sema kama macho yangu yanachokiona kwenye hiyo Avatar ndio chenyewe basi Alhamdulilah, Mungu amekupendelea dada yangu. Unafanana na wazulu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama unaziamini hisia zako mkuu basi jua umepatia kwa 100%
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha. Hazijawahi nidanganya
Mmh. Leo zamu ya wapenda kula hovyo hovyo. Kazi ipo mwezi huu.
Mmh. Leo zamu ya wapenda kula hovyo hovyo. Kazi ipo mwezi huu.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]hapa nasemwa mie mbiti !hahaha jamamn nahis kulogwa ! jaman km sio ubuyu bas keki, km sio keki bas sambusa,visheti,mishikaki uwiii !nimechekasana !yaan mie mdomo wangu marufku kubak umefumba hahaha nikijitahd sana big G!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema kama macho yangu yanachokiona kwenye hiyo Avatar ndio chenyewe basi Alhamdulilah, Mungu amekupendelea dada yangu. Unafanana na wazulu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hongeza zako mumy basi we sio wa mchezo mchezo.
Hivyo hujawahi kufunga weye.
hahahaha. Have a blessed eveining..acha tukalewe sisi wanakijiji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]hahahaha. Have a blessed eveining..acha tukalewe sisi wanakijiji
Pole sana kama ni hivyo huna jinsi mumy.subutu! siwez !nna sukari ya kushuka bas toka dk aniambi nisikae muda mrf bila kula ohooo akaharibu !siwez kufunga nitakufa