Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama unaziamini hisia zako mkuu basi jua umepatia kwa 100%
Sema kama macho yangu yanachokiona kwenye hiyo Avatar ndio chenyewe basi Alhamdulilah, Mungu amekupendelea dada yangu. Unafanana na wazulu
 
Mmh. Leo zamu ya wapenda kula hovyo hovyo. Kazi ipo mwezi huu.

hapa nasemwa mie mbiti !hahaha jamamn nahis kulogwa ! jaman km sio ubuyu bas keki, km sio keki bas sambusa,visheti,mishikaki uwiii !nimechekasana !yaan mie mdomo wangu marufku kubak umefumba hahaha nikijitahd sana big G!
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Hongeza zako mumy basi we sio wa mchezo mchezo.

Hivyo hujawahi kufunga weye.
 
Sema kama macho yangu yanachokiona kwenye hiyo Avatar ndio chenyewe basi Alhamdulilah, Mungu amekupendelea dada yangu. Unafanana na wazulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Hongeza zako mumy basi we sio wa mchezo mchezo.

Hivyo hujawahi kufunga weye.

subutu! siwez !nna sukari ya kushuka bas toka dk aniambi nisikae muda mrf bila kula ohooo akaharibu !siwez kufunga nitakufa
 
Back
Top Bottom