stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Hahaha vibaya hivyo!Kama unajipenda lazima utakuwa na atabu katika ulaji,na mazoezi juu.
mwanamke unanenepeana Kama nguruwe, haipendezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha vibaya hivyo!Kama unajipenda lazima utakuwa na atabu katika ulaji,na mazoezi juu.
mwanamke unanenepeana Kama nguruwe, haipendezi
Hahaaa wanasena dela bila chura ni kama umevaa kanzu[emoji3]Ukiwa na tumbo utapendeza kwenye dera tu
Mmh kitovu cha embe hivi ni uzembe wa mwenye kitovu au daktari aliemkata?Hapa tuko wengi, mdada aliye na tumbo flat, kitovu sio cha embe alafu ana kalio, wanapendeza sana!!
Utakuta MTU asubuhi kala chapati 2 mchana ugali nyama au samaki usiku Kitimoto kilo mzima na lite kama 2 sasa ataachaje kuwa na kitambi?hakika ulaji mbovu unatuharibu shepu wadada
nakula najiandaa na ujauzito
Shindwa na ulegee mpnz wangu hana kitambi [emoji35][emoji35]Utakuwa na freezer wewe kukupanda mpaka kuset jeki kwanza ama mtalimbo
Kitovu cha embe ndio kinafananaje kwasbb mm nilipokua mdg kilikua kimetokea nje ila kadiri nilipoendelea kukua kikaanza kurudi ndaniMmh kitovu cha embe hivi ni uzembe wa mwenye kitovu au daktari aliemkata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaa kumbe unakijua! Sasa vingine huwa vinagoma kurudi ndaniKitovu cha embe ndio kinafananaje kwasbb mm nilipokua mdg kilikua kimetokea nje ila kadiri nilipoendelea kukua kikaanza kurudi ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
.tuwe na adabu katika ulaji
Shorga acha kabisa lkn nimeshtuka ngoja nipambane na kitambi changu