kwa shunie huwezi ondoka, mwaka mzima! siku ukiaga atakwambia yaan waja leo waondoka leo,, mtu umekaa mwaka unaambiwa waja leo waondoka leo,
sioi leo wala kesho hata majogoo, molali nliyonayo ngoja nzeeke nzeeke kwanza[emoji23]Ukivuruga pande zote ndoani utaseto
Sio yote mkubwa kuna mengine yanaongeza kiuMaji nayo si yanakata kiu jombaaa?
Asee mutoto uko na asali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwangu kuondoka niamue mm kukwambia haya baba kwaheri
wacha weeeee, hapo acc inakuwa inasoma ( ! ) muhamala hauwezi kukamilika kwani huna____ za kutosha,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwangu kuondoka niamue mm kukwambia haya baba kwaheri
Hehehe... kama yeye analo kwa nini nishangae la wengine...
kuna zile za kibinadamu za kawaida unajikuta ghafla umetupia macho kwingine... ila kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa...
Cc: mahondaw
mtu chako upooo babaAsee mutoto uko na asali
Hehehe... kama yeye analo kwa nini nishangae la wengine...
kuna zile za kibinadamu za kawaida unajikuta ghafla umetupia macho kwingine... ila kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa...
Cc: mahondaw
Kama una kiu dawa yake ni maji tuu siyo soda wala bia [emoji23] [emoji23]Sio yote mkubwa kuna mengine yanaongeza kiu
Asee mutoto uko na asali
Hajambo kabisaHope mxee baba yupo shwari!
Ila sio maji yote sasa mengine ya bakteriaKama una kiu dawa yake ni maji tuu siyo soda wala bia [emoji23] [emoji23]
wacha weeeee, hapo acc inakuwa inasoma ( ! ) muhamala hauwezi kukamilika kwani huna____ za kutosha,,
ndo unmwaxhia [emoji23]
Hiyo ndio tanga bado shunie [emoji134] [emoji134]
Nipo mkuu nazurura tu humu JFmtu chako upooo baba