Wanawake wenye mawowo mtuhurumie

Wanawake wenye mawowo mtuhurumie

kwa shunie huwezi ondoka, mwaka mzima! siku ukiaga atakwambia yaan waja leo waondoka leo,, mtu umekaa mwaka unaambiwa waja leo waondoka leo,
Uage au uombe uhamisho kabisa wa kikazi[emoji23] [emoji23]
 
Hehehe... kama yeye analo kwa nini nishangae la wengine...

kuna zile za kibinadamu za kawaida unajikuta ghafla umetupia macho kwingine... ila kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa...

Cc: mahondaw

Hahaha mwanaume wa kweli hawezi acha kuosha macho linapokuja salama la inye smart wangu!!!
 
Hehehe... kama yeye analo kwa nini nishangae la wengine...

kuna zile za kibinadamu za kawaida unajikuta ghafla umetupia macho kwingine... ila kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa...

Cc: mahondaw

Hahaha usijali love.. mwanaume wa kweli hawezi acha kuosha macho linapokuja salama la inye smart wangu!!!
 
Back
Top Bottom