Hapana mkuu! kwa Smart911 nikifanya wivu ntakufa siku si zangu.. make huyu mwanaume jamani jamani wacha tu yaniRafiki una wivu wa mwendokasi[emoji23] [emoji23]
sio tia maji tia maji, maan dagaa huli unavidonda vya tumbo,, nyama ya ng'ombe huli una aleji we kuku tu [emoji23]Uwe na mahela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yan kama nakuona unavyocheka
safi sanaaaNipo mkuu nazurura tu humu JF
Inabidi mjitenge muwe nchi mtaendelea haraka kupitia utalii[emoji23] [emoji23]
sio tia maji tia maji, maan dagaa huli unavidonda vya tumbo,, nyama ya ng'ombe huli una aleji we kuku tu [emoji23]
Hahaha, yule hakua anaudhuria misiba wala kutoa rambi rambi ,yeye kuzurura tuAcha kuzurura utafutwa kazi kama mwigulu[emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan wewe sio mm