DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Hawa madada wenye kubarikiwa rumbesa aka mawowo wanajua kulingia jamani,unakuta mdada analitikisa kotekote tena ukiwa unapishana nae ndo utakoma.
Kiukweli lazma akate shingo kama lijali yani huu uumbaji sijui Mungu alikusudia nini lol!
Maana hata uwe na mwenza wako muhimu kuibia kwa jicho upande,
Hebu jionee mwenyewe
Kiukweli lazma akate shingo kama lijali yani huu uumbaji sijui Mungu alikusudia nini lol!
Maana hata uwe na mwenza wako muhimu kuibia kwa jicho upande,
Hebu jionee mwenyewe