Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wa sababu siyo hiyo.Hawa pisi kali wanaogopwa balaa. Wanaume huwaogopa kuwaoa kwa sababu kila mwanaume huwataka hata kuwachezea tu. Wanaume wanaona ukioa mwanamke mzuri utaolea kijiji/mtaa. Wanaonekana kama hawajatulia ni malaya.
Hata kikwete alikuwa mtoto wa mjini na ana mapene sana lkn alichukua Salma.
Wanaume wote tunataka Confort tu mambo ya pisi kali isiyo na adabu wala heshima ni kwa kupiga na kusepa tu