Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wa sababu siyo hiyo.Hawa pisi kali wanaogopwa balaa. Wanaume huwaogopa kuwaoa kwa sababu kila mwanaume huwataka hata kuwachezea tu. Wanaume wanaona ukioa mwanamke mzuri utaolea kijiji/mtaa. Wanaonekana kama hawajatulia ni malaya.
Huyo alikudanganyaKuna jamaa yangu mmoja aliishia kuchekwa kwenye harusi yake baada ya kuoa mwanamke wa kawaida asiyevutia wengi. Nilimuuliza kulikoni kuoa mwanamke wa hivyo wakati awali alipendelea wanawake wazuru warembo. Alinijibu kaoa wa kawaida asiye na mvuto kwa wanaume hata akisafiri hakuna mwanaume atatamani kwenda kupakua mzinga wake
Hahaaaa.....pisi ni pisi tuSasa wewe unamuona wa kawaida aliyemuoa anamuona mrembo.
Iko hivyo.
Benz, V8, Crown etc ni Kwa ajili ya show off mjini. Ila msimu wa kilimo ukifika, shambani tunaenda na trekta.Wanawake wenye muonekano wa kawaida huwa wanaingia kwenye ndoa na zinadumu sana sijui kwa nini, Angalia hata wake za marais hawanaga mambo mengi , hawa maslayqueen sijui wana tatizo gani[emoji3]
Hata wake za matajiri chunguza utaona
ππππNenda sokoni uone kuku wa kienyeji alivyo na bei.π π π π π π π
Sawa sawaUnaoaje mtu kila akipita mahali watu wanaacha kazi zao wana-concentrate na mwonekano wake. Rate ya mtu wa hivyo kutongozwa iko juu sana, mwisho anaanza kukuona wa nini.
Oa mwanamke mzuri, atakayekuzalia watoto wazuri, that's it.
Tatizo sio wahuni kupiga tatizo unaishi na mwanamke wa aina gani atakae kuza watoto wako? Hawa wanawake tunaoona wa kawaida sana mara nyingi wana misimamo japo sio wote na wanamalezi bora mtu akifika kuoa anaangalia maslahi ya kizazi chake ndipo unakuta fogo anaoa mke wa kawaida sana wakati pisi zipo kibao tu.Hata uoe kilema, Wahuni kama wahuni watapiga tu. π€π€