Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipiii tena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata sina mieUna ndevu
Hufai kumbe wewe na kismatHata sina mie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kutokana na maneno ya mleta uzi kweli kabisa wala hujakoseaHufai kumbe wewe na kismat
Hahahaa! Kaamua kucheza na akili za watubora umenisaidia kushangaa.
mtu aoe mwanamke mwenyendevu alafu asijitume tuone icho kisimati kitakujaje.
Hahahaa! Kaamua kucheza na akili za watu
Bas hunufai kabisaaaaKutokana na maneno ya mleta uzi kweli kabisa wala hujakosea
Kweli kabisa acha zibaki kuwa imani kwa mwenye kuamini.saaana sema makufuli alisema mtu asipangiwe chakuzungumza tukae kimya.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bas hunufai kabisaaaa
Kuna kaukweli flani maana wengi wanasema hivyo. mi ninazo ngoja nitafwatiliaAISEE............. KWASASA NIKO MBEYA.
KWENYE WANAWAKE HAMSINI, WAWILI WANA NDEVU.
ILA HOHE HAHE TU.
Wewe bila shaka ni mchagga tena pure[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji41]Mimi ninazo jamani unachoongea ni kweli kabisa, nina ushahidi mpaka inafika kipindi kuachana na mtu inakuwa shida, analia kabisa kwamba mambo yake hayaendi asipokuwa na wewe au mkigombana, wengine wamekuwa ving'ang'anizi mpaka inakuwa kero, sio wanaume tu hata kwenye mambo kama ya biashara nk. mara nyingi huwa nafanya utafiti nagundua mambo mengi mbalimbali, am not sure kama yanahusika moja kwa moja na mimi kuwa na ndefu but what i see there must be a strong connection.