Wanawake wenye ndevu na kisimati cha pesa

Mmmh...!! Me kuna jamaa angu alikua na mahusiano na binti mwenye ndevu yani ilkua tabu juu ya balaa..
 
Nacheka tu hapa,kuna jamaa aliwahi kunambiA ukilala kwenye kitanda cha kamba unakuwa na kismati,tufanye mambo yetu tu tusijenge dhana..si dhambi kuwa na mwanamke mwenye ndevu...
 
Misstrace ana ndevu kama taleban na bado yupo hoi kifedha
 
Niko feri hapa, nawaona wengi tu wana ndevu na wanahangaika na mandoo ya samaki... hiki ndio kismati?

Acheni uchawi
 
Usisahau sikuhizi wanawake wanao tumia mkorogo ndevu zawatoka ati ss hata hizi nazo zinakismati ndugu.?
 
AISEE............. KWASASA NIKO MBEYA.

KWENYE WANAWAKE HAMSINI, WAWILI WANA NDEVU.

ILA HOHE HAHE TU.
 
AISEE............. KWASASA NIKO MBEYA.

KWENYE WANAWAKE HAMSINI, WAWILI WANA NDEVU.

ILA HOHE HAHE TU.
Kuna kaukweli flani maana wengi wanasema hivyo. mi ninazo ngoja nitafwatilia
 
Wewe bila shaka ni mchagga tena pure[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…