Wanawake wenye pesa ndio wenye True love

[emoji1][emoji1][emoji1]daahh

Ndio hivyo.

Kuna kumlea mtu na kumfuga.

Kumlea mtu ni kumpa mahitaji yenye ubora ya kila namna.
Kamaa ni chakula kiwe Diet ya kutosha, nguo nzuri zinazoendana na mazingira, sio nguo ya kanisani inafanana na nguo ya msibani,
Malazi mazuri.

Kumfuga mtu ni kumpa mtu mahitaji ilimradi aishi Bila kujali ubora.
Unakuta unakula Mlo mmoja miaka nenda rudi, asubuhi kavu au chai tupu, siku ukijitahidi chai na maandazi mawili. Siku ya sikukuu ndio chai ya maziwa na chapati. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Nguo unavaa moja miak nenda rudi, kama ngozi ya wanyama, yaani siku ukibadili ni kama nyoka amevua gamba lakeπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ Kila mtu anajua.
Unalala kitanda kibaya kichafu kama mbuzi.
Mbuzi na Ng'ombe ndio wanafugwaa, hata uwape majani yale yale miaka nenda rudi hawana shida, hata walale chini au zizi la miiba hawaoni shida. Huko ni kufugwa.

Sasa unakuta mtu anajifanya amekulea kumbe amekufuga kama mbuzi kasoro kamba shingoniπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰. Masikini bhanaa!

Hata ni sisi wanaume, usijefanye unataka heshima kwa kujigamba kuwa unamlea mkeo kwa kumpa mahitaji yake wakati kiuhalisia humlei bali unamfuga kama mbwa kasoro mnyororo tuu shingoni
 
Kwa mamlaka nilio nayo nakutunukia Shahada ya Uzamivu katika nyanja ya tafiti zilizotukuka kuhusu wajane.
 
Mwanamke anayejiweza kiuchumi na kimaisha ndie mwenye upendo wa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingawa nimecheka sana ulivyowananga wanawake maskini waliojaribu kufurukuta ila walijikuta wameingia kingi tu.
 
Mwanamke anayejiweza kiuchumi na kimaisha ndie mwenye upendo wa kweli [emoji23][emoji23][emoji23] ingawa nimecheka sana ulivyowananga wanawake maskini waliojaribu kufurukuta ila walijikuta wameingia kingi tu.
Hapo kuna jambo la experience anaelew sitosahau hiyoo[emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke anayejiweza kiuchumi na kimaisha ndie mwenye upendo wa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingawa nimecheka sana ulivyowananga wanawake maskini waliojaribu kufurukuta ila walijikuta wameingia kingi tu.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sasa wewe unajihisi upo kamili

Mimi sijihisi, bali nimekamilika
Mimi ni kamili, perfect, mtimilifu, toshelevu.

Ndio maana sihitaji mtu mwenye mapungufu
 
Mimi mwenyewe sitaki Marioo..a.k.a Ganda la ndizi.
Mkipigwaga kavu mnakimbiliaga kuita watu Marioo si mkubali kushindwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani lazma mshinde kila mada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…