Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
597
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa.

Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho, mnakula sana kuliko hata midume, machips mayai, manyama choma, mabia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani, kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!

We huoni watoto kama Jokate Mwegelo wanavyopendeza hadi raha, sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

Dr. Holygrail

1643113142344.png
 
Kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka.

Watu wanajibadilisha jinsia, itakuwa hiyo mitumbo tu?

Do you, and let others do them.
 
Wewe dada zako hawana vitambi? mbona unakosa adabu we dogo

Kuanzia maza mpaka sisteri zangu wote hawana hiyo mitambi!...ni ma supa viwangozz u know!!... Hakuna Le vitambiz u knw!
 
Back
Top Bottom