Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 498
Aiseee.......wapenzi wetu wameridhika na hivyo vitambi vyetu na wewe kama vipi mfuate huyo Jokate si ndo unapenda wa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mxiuuuu!shika adabu yako wanawake wa JF hatuna vitambi usitufananishe na uswazi kwenye mishkaki ya sh 100 eboo.
Yaani kantibua ka nini mxiuuuu! Haya vip familia huko wifi angu.Wifi naona kakuchefua.... huyu sijui vipi kwani kalazimishwa kuwafuata wenye vitambi?
thubutu atamwona kwenye picha tu huyo Jokate hadhi yake vitambi kutaka kujipaisha tu hapa.Aiseee.......wapenzi wetu wameridhika na hivyo vitambi vyetu na wewe kama vipi mfuate huyo Jokate si ndo unapenda wa hivyo
kimekosekana kitufe cha kiss haya chkua like mkuuHilo futa ndio raha we ka huwataki tembea zako huna hoja
usishangae sana dogo!!..mjini hapa u knw!...mimi na Le mutu.z tuna undugu u knw!!....sawa mbebes wa ukwee!!...hopefully utakuwa super viwangoz u knw!!
Yaani madada ya siku hizi
sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..
Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja
mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata
midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini
yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke
ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..
We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio
kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada
Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu
zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
Tafuta asiye na kitambi wa wenzako wanakuhusu nin?umelazimishwa kua nao?
starehe ya mume wangu we kinakuhusu nini upyanku pyanku tu loh!peleka umbea uswazi huko.hahahaha!...afu nyie mnaonekana mtakuwa na vitambi dizaini ya cha kaptein komba!...
haihusuhahahaha!...afu nyie mnaonekana mtakuwa na vitambi dizaini ya cha kaptein komba!...maana mnavyotoka povu hatareee!
Madada ya siku hizi mbona umeongea kwa kejeli au ulihisi hautoeleweka
Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..
Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..
We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
Invisible JF inahitaji mabadiliko mkuu, kuwepo na eneo la JINSI/JINSIA maana huu udhalilishaji humu ndani umezidi asee. Imagine mzee mzima kama Majigo anaitwa mbebezkijana jiangalie sana....siku nyingine nitakuvujisha povu, mi sio dogo kwako .....tena mi sio mbebes!