J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
poole we!aliekukuza ana kaz kweli.ama kweli aliesema ukweli unauma nampa big up!! I dont mean to be rude but.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poole we!aliekukuza ana kaz kweli.ama kweli aliesema ukweli unauma nampa big up!! I dont mean to be rude but.....
ama kweli aliesema ukweli unauma nampa big up!!
I dont mean to be rude but.....
Acha ubinafsi
Mbona nyie mna matumbo makubwa kama matenki lakini tunavumilia? Unadhani hatupendi 6 packs???
au wanaume mnasemaje!
yani kantibua ka nini mxiuuuu! haya vip familia huko wifi angu.
mwanaume kutokuwa na 6 packs kawaida!..sasa mwanamke kuwa na kitambi ulionaga wapi? Mbona zamani wanawake walikuwa hawana mitambi!...urohooo huo!
its true punguzeni masupu na beer,hatutaki matukunyema
hebu mwambie na wewe labda ataelewa huyu jamaa sijui yukoje ana tabia za barazanii!Ukweli upi pretender ww?
Obesity & related health problems ina-stress health insurance ambayo watz sote tunashea.Kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka.
Watu wanajibadilisha jinsia, itakuwa hiyo mitumbo tu?
Do you, and let others do them.
under twenti mwache alalame tu shosti watu wamembembeleza wee anaringa mi nikachukua fursa kwa Window7 na hv nnavyoongea nshaanza kusikia kichefchef,nalala hovyo sipendi dagaa nataka kuku sijui kimejipa!Familia inaendelea vizuri wifi yangu, haya niambie wifi mbona under 20 anatangaza kukuuwa we na huyo sijui Window7 eti mmemgeuka.......lohh!!!
Ni kweli. Vitambi vya wadada vinaboa, vinakera, vinaudhi. Hata kama wengi watajifanya wanachukia. Ni kwamba waache vidonge vya kuzuia uzazi. Wakome kubugia nyama, chips mayai na pombe za bure.... Maana wakipewa ofa wanakula hovyo ili kukomoa.Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..
Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..
We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
wapumue kupitia 'tundu' lipi? kindly specify/Sisi tunawapenda kama walivyo, wewe unayependa models muone Lundenga.
Ina maana ni ruksa kwa lijanaume zima kuwa na mtumbo hata akidondosha sh 100 hawezi kuiokota?
muwaache wanawake wapumuwe.
saizi yako Isha mashauzi kasutane nao hukoo tuache watu na hali zetu utakuja kuveshwa kimini katkat ya mji kizee wewe.hahahah!...mbebes wenye vitambi wanajuana kwa viremba u knw!!