Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Mkuu assume kwamba ndio uko infront of 100,000 JF great thinkers halafu una present hoja kama hii kwa maneno kama hayo uliyotumia! hivi ungefikisha kweli dakika jukwaani bila kupigwa chupa? you dont have good presentation skills. you need some researches before you erupt .. naona uswahilini uliko hamia kumekuharibu maximumly!
and he call himself a doctor hahahaa may be doctor wa mabwabwa.
 
Weka picha bhana sio makelele mengi

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
and he call himself a doctor hahahaa may be doctor wa mabwabwa.

hii ni a.k.a tu J.lee,

if he were a real doctor, vifo vingeongezeka kila siku, kesi za mikasi matumboni zisingeisha, operesheni za magoti badala ya tumbo zingekuwa gumzo tu duniani zikitokea TZ!

huyu sijui awe doctor wa nini ndio afit.. he dont deserve the profession..
 
Last edited by a moderator:
mwanaume kutokuwa na 6 packs kawaida!..sasa mwanamke kuwa na kitambi ulionaga wapi? Mbona zamani wanawake walikuwa hawana mitambi!...urohooo huo!

Kwendraaaa,we zamani unajua ilikuwaje?
Kwani umelazimishwa kuwapend hao wenye vitambi??

One man's meat is another man's poison!!
Fanya yako.
 
Nimemwambia akamfunue bibi yake atuletee picha...
Kwendraaaa,we zamani unajua ilikuwaje?
Kwani umelazimishwa kuwapend hao wenye vitambi??

One man's meat is another man's poison!!
Fanya yako.
 
hii ni a.k.a tu J.lee, if he were a real doctor, vifo vingeongezeka kila siku, kesi za mikasi matumboni zisingeisha, operesheni za magoti badala ya tumbo zingekuwa gumzo tu duniani zikitokea TZ! huyu sijui awe doctor wa nini ndio afit.. he dont deserve the profession..
acha tumsamehe tu.
 
Last edited by a moderator:
under twenti mwache alalame tu shosti watu wamembembeleza wee anaringa mi nikachukua fursa kwa Window7 na hv nnavyoongea nshaanza kusikia kichefchef,nalala hovyo sipendi dagaa nataka kuku sijui kimejipa!

Nimezama kwako bibie under twenti hana nafas tena.. My bebioo jiandae nxt wk twende kwa Dr Kailuki tukachek baby wetu anaendeleaje...
A%20S%20kiss.gif
 
yaani wewe ndo umetoa point kuliko wote!!..maana manamake ya humu jf yenye vitambi mabishi kama nini!..haya nendeni mkapunguze matambi yenu kwa jamaa!!..

Shika adabu yako,
Manamanake ndo nini??

Tumia akili sio makalio.
 
Familia inaendelea vizuri wifi yangu, haya niambie wifi mbona under 20 anatangaza kukuuwa we na huyo sijui Window7 eti mmemgeuka.......lohh!!!

Under twnt hayawez mambo yakikubwa ikabidi aombe po.. Halaf usipende kumpa stres my wife J.lee ebo

  • :evil:
 
Last edited by a moderator:
usione watu wana tumbo ukaanza ku-comment tu bila kufanya research.. hii ni poor thinking!

mwanaume gani wewe una erupt namna hii mkuu?

kuna driving factors nyingi sana zinazofanya wanawake na wanaume wawe na vitambi (shangaa wewe umerukia upande mmoja tu.. walikunyima nini hao lakini?)

yawezekana kuwa ni vyakula kwa kiasi kikubwa sana vinachangia hili tatizo, kutofanya mazoezi ili kupunguza mafuta na mambo mengineyo,

actually, ulitakiwa kutoa alternatives which could solve this problem...

what kind of dr are you? wagonjwa wako wanarudigi nyumbani salama kweli? si wanafia mapokezi kabla hawajakuona?
 
Under twnt hayawez mambo yakikubwa ikabidi aombe po.. Halaf usipende kumpa stres my wife J.lee ebo

  • :evil:

afu na wewe ukue bana! tuko mahala kwingine hapa! my sweetheart Angelicious kakufanya nini?

sometimes ukiona wanawake wanaongea, waache wafanye yao, sio kila kitu unataka ujue!

eboo!
 
Last edited by a moderator:
Nimezama kwako bibie under twenti hana nafas tena.. My bebioo jiandae nxt wk twende kwa Dr Kailuki tukachek baby wetu anaendeleaje...
A%20S%20kiss.gif
oph!thus ma beby lov u sanaaaaaa!
 
Back
Top Bottom